Inaonyesha machapisho yenye lebo ya NewsOnyesha wote
ME YA TAYLOR SWIFT KUCHEZA KWENYE TOP 5 NEXT WEEK KWENYE BILLBOARD HOT 100
Life After DeathYa Biggeie  Yagonga Miaka 22
Orodha ya album 30 bora mwaka 2018 kwa mujibu wa Jarida la Rolling Stone imetoka, 'Invasion of Privacy' ya Cardi B imekamata namba 1.
#StarBoy @wizkidayo amefanikiwa kufungua duka lake la Nguo kwa kutumia Brand yake ya STAR BOY
Queen Ya Nicki Minaji Yaingia Sokoni Ikiwa Na List Ya Nyimbo 19
WaanWaadaji wa Tuzo za BET wameanza kutangaza wasanii ambao watashambulia steji ya tuzo hizo mwaka huu
Disstrack ya Pusha T “The Life of Adidon” inaweza ikawa imeharibu dili kubwa la Drake na Adidas
Jux na Vanessa Mdee wametangaza ziara yao ya muziki “In’Love & Money”
Mariah Carey auza pete yake ya uchumba kwa Tsh. Billion 4 Tsh
Ariana Grande aonjesha mashabiki collabona Nicki Minaj “The Light is Coming” Kuna uwezekano Drake pia akawa ameshirikishwa
 Rosa Ree amesaini mkataba na menejimenti mpya ya Afrika Kusini
Davido anaendelea kuiimarisha ngome yake ya “Davido Music Worldwide” kwa kuendelea kusaini wasanii wapya, sasa anafikiria kumuongeza msanii wa kike kwenye label yake
Kama ulikuwa mmoja wa wanaoisubiri album ya Nicki Minaj mwezi wa sita inabidi uendelee kusubiri, Nicki Minaj amesogeza mbele tarehe za kuachia album hiyo
Album mpya ya Pusha T imetoka leo, lakini siku mbili ziliopita album ilikuwa na jina na cover tofauti kabisa na zilizotumiwa sasa hivi
Kuna mtu mmoja amepigaa risasi na kufariki nje ya mgahawa wa Drake jijini, Toronto, Canada.
Kuna uwezekano Donald Glover akatokea kwenye filamu ijayo ya Black Panther.
Idadi ya watu wanaosikiliza (stream) nyimbo za R.Kelly yaongezeka baada ya spotify kuzifuta nyimbo zake kwenye playlist zao
Meneja wa Jet-Li aongelea picha zinazosambaa mtandaoni “Picha zilitoka vibaya tu, anaendelea vizuri”
Pusha-T abadilisha jina la album yake siku 2 kabla ya kuiachia, Hii ndio Tracklist
 Q-chilla leo alifanya mahojiano na XXL ya Clouds FM na kutangaza nia yake ya kuacha muziki