Ariana Grande aonjesha mashabiki collabona Nicki Minaj “The Light is Coming” Kuna uwezekano Drake pia akawa ameshirikishwa

Image result for ariana grande nicki minaj

Ariana Grande na Nicki Minaj wanakuja na collabo yao nyingine, kutoka kwenye album yake mpya Sweetner

Ariana aliweka video fupi akiimba mashahiri ya ngoma hiyo, inasikika sauti ya Nicki Minaj akirap “The light is coming to get back everything the darkness stole”

Nicki Minaj alithibitisha kwa kumjibu Ariana Grande “Can’t let a EFF boy EFF up my nice vibez! Yo Ariana come lemme gih i a high 5” Hii inaweza ikawa mistari ya Nicki ya kwenye ngoma hiyo

Pia kuna uwezekano Drake pia akawa ameshirikishwa kwenye hiyo ngoma, Ariana alicomment emoji na taa kwenye post ya Nicki Minaj aliyokuwa akimtetea Drake (issue ya Drake na Pusha T) Drake na Nicki Minaj waimjibu pia kwa emoji hiyo hiyo

Ariana na Nicki Minaj wamewahi kushirikiana kwenye ngoma kama “Get on your Knees,” “Dangerous Woman,” “Side to side” na ngoma ya Jesse J “Bang Bang