#kamatiaHii 22 years ago today #Biggie released Albam Iliyokwenda Kwa Jina La Life After Death kwenye Albam Hiyo Kulikuwa Na Nyimbo Kama “Hypnotize” “Mo Money Mo Problems” Na Nyingine Nyingi Albam Hiyo Ilikwenda Mpka Kweny kubwa Dunian Billboard Hot 200 Na Iliuza Copies 690,000 Ndani Ya Week Toka Toka Ilipoingia Sokoni Na Ilivunja Record Maana Ndio Albam Iliyoruka namba nyingi Mpka Kuingia Namba Moja Ilitoka Namba 176 Ambayo Ilikuwa Ndani Ya Week Ya Kwanz Na Kwend Mpka Namba 1 Ndani Ya Week Iliyofanya Na Ikifanikiwa Kuingia Kweny Tuzo Grammy Katika Vipengele vitatu Nakuwa Albam Bora Ya Rap #LifeAfterDeath #Notorius #Big
Follw On Instagram @dj_hiplus
