#StarBoy @wizkidayo amefanikiwa kufungua duka lake la Nguo kwa kutumia Brand yake ya STAR BOY

 
All the way From Lagos, Nigeria 🇳🇬, #StarBoy @wizkidayo amefanikiwa kufungua duka lake la Nguo kwa kutumia Brand yake ya STAR BOY na kulipa jina la Star Boy Pop Up Shop


Kupitia Page yake ya instagram, Wiz ameweka picha hizo zinazoonesha Jinsi ndani ya Jengo hilo lilivyo na Tayari baadhi ya Nguo kama Tshirt, Vikombe, Kofia, Vitambaa na Masweta akiwa ameyaingiza ndani ya Duka hilo.


Duka hilo lipo New York nchini Marekani, na litazinduliwa leo Rasmi hii ikiwa ni hatua kubwa sana katika sanaa na pengine Wizkid amefanya hivi kwa ushawishi baada ya kilichotokea wakati Anafanya Promotion ya Jezi za Nigeria Kwenye Msimu wa Kombe la Dunia.