
BET wamewatangaza Nicki Minaj, Janelle Monae, H.E.R, Migos na Ella Mai kuwa wataperform kwenye tuzo hizo mwaka huu
Awali BET walimtangaza Jammie Foxx kuwa host wa tuzo hizo ambazo zitafanyika tarehe 24 Juni, Ukumbi wa Microsoft Theatre, Los Angeles, Marekani
Dj Khaled anaongoza kwa wasnaii wanaowania tuzo hizo mwaka huu, anawania tuzo 6, akifiatiwa na Kendrick Lamar mwenye nominations 5, na Migos na SZA ambao wote wanawania tuzo nne nne