Mariah Carey auza pete yake ya uchumba kwa Tsh. Billion 4 Tsh

Mariah Carey auza pete yake ya uchumba kwa Tsh. Billion 4 Tsh
Image result for Mariah Carey pete

Mariah carey ameipiga bei pete ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake wake wa zamani, James Parker

Pete hiyo ya almasi ilikuwa na thamani ya zaidi ya Billion 20 Tsh ($ 10M) na alibaki nayo kama sehemu ya makubaliano baada ya kuachana na Parker mwaka jana, 2017

Mtandao wa Pagesix umeripoti kuwa Mariah ameipiga bei pete hiyo, Publicist wake amesema hiyo ni njia moja wapo ya kufuta hisia za uhusiano wake wa zamani na kujikita kwenye mambo yake

Pete hiyo imeuzwa kwa Jeweler kwa $ 2.1 Million ambayo si chini ya Billion 4.7 Tsh. Mnunuaji amesaini mkataba wa kutosema kama pete hiyo ilikuwa ya Mariah Carey