Polisi wameiambia channel ya CBC kuwamtu huyu anayejulikana kwa jina la Jaiden Jackson alikuwa kwenye mgahawa wa “Pick 6ix” mgahawa mpya wa Drake. Polisi wanasema alitoka na mwanamke mmoja (hajajulikana) wakati wanatembea nje gari jeusi aina ya ‘Honda civic’ lilikuja na watu wawili waikushuka na kummwagia risasi.
Polisi walipofika alikuwa bado hai lakini alifariki baadae kutokana na kupigwa risasi nyingi