Queen Ya Nicki Minaji Yaingia Sokoni Ikiwa Na List Ya Nyimbo 19


Baada ya kutoa kauli ya kuiachia album yake mpya ya nne QUEEN kwenye msimu wa kwanza wa kipindi chake kipya cha radio alichokipa jina la QUEENRADIO kilichoruka juzi kwa mara ya kwanza kupitia BEATS 1 ya apple music female rapper #nickminaj siku ya jana august 10 ameiachia album yake ambayo ilikuwa inasubiriwa na mashabiki zake kwa hamu sana .
 
          

Album hii yenye jumla ya nyimbo 19 humu ndani kuna ngoma ambazo tayari alikuwa ameshaziachia na nyingine ni mpya kwenye masikio ya wengi .

Hata hivyo kupitia mtandao wa kusambaza na kuskiliza muziki wa Itunes album hii ya #QUEEN ya nickminaj imekuwa album ya kwanza kuskilizwa kwa mda mchache ndani ya nchi 62


List ya ngoma ambazo zipo kwenye album hii 

01. Ganja Burns
02. Majesty (ft. Eminem & Labrinth)

03. BARBIE DREAMS – Huu ni moja kati ya wimbo ambao kwa sasa unazagaa sana kupitia mitandao ya kijamii hum ndani kawachana rappers kibao wakiwemo 50 Cent , Drake, Meek Mill, Lil Uzi Vert, Young Thug, Desiigner , 6ix9ine, DJ Khaled, Future na YG

04. Rich Sex (ft. Lil Wayne)
05. Hard White
06. Bed (ft. Ariana Grande)
07. Thought I Knew You (ft. The Weeknd)
08. Run & Hide
09. Chun Swae (ft. Swae Lee)
10. Chun-Li
11. LLC
12. Good Form
13. Nip Tuck
14. 2 Lit 2 Late Interlude
15. Come See About Me
16. Sir (ft. Future)
17. Miami
18. Coco Chanel (ft. Foxy Brown)
19. Inspirations Outro