Rais wa G.O.O.D Music, label ya Kanye west, Pusha-T ametangaza kuwa amebadilisha jina la album yake kutoka “King Push” na sasa itakuwa “Daytona”

Amesema jina la kwanza lilikuwa halibebi maana halisi ya album hiyo, album inatoka tarehe 25 mwezi wa tano (Ijumaa hii)
Hii ndio orodha ya ngoma zilizopo kwenye album hiyo
1. If you know, you know
2. The game we play
3. Hard Piano Ft. Rick Ross
4.Come back baby
5.Santeria
6. What would Meek do? Feat. Kanye West
7. Infrared