Davido anaendelea kuiimarisha ngome yake ya “Davido Music Worldwide” kwa kuendelea kusaini wasanii wapya, sasa anafikiria kumuongeza msanii wa kike kwenye label yake

Davido anaendelea kuiimarisha ngome yake ya “Davido Music Worldwide” kwa kuendelea kusaini wasanii wapya, sasa anafikiria kumuongeza msanii wa kike kwenye label yake

Image result for davido 2018

Muda mfupi tu baada ya kumsaini msanii mpya, Idowest kwenye label ya DMW, Davido alitweet kuwa anafikiria kumsaini msanii wa kike “Maybe it’s time to sign a female artist? 🤔🤔🤔”

Mashabiki wengi wanadhani kuwa Davido amepanga kumsaini mpenzi wake mpya, Chioma

Wengine wamemshambulia kuwa hayupo tayari kumsimamia msanii wakike, wamesema yeye na crew yake itamtumia kwa manufaa yao tu. -
We, unaonaje hii issue ya msanii wa kiume kumsima msanii wa kike?