
Kwenye mahojiano na XXL ya Clouds FM amesema menejimenti yake mpya ndio imefanikisha collabo yake na rapper wa Afrika Kusini, Emtee
Pia wamemnunulia mjengo wa Million 400, upo Tegeta -
Rosa Ree amepanga kufanya Press leo kuhusiana na dili lake jipya, amesema menejimenti yake tayari imeshuka Bongo kwa ajili ya utambulisho rasmi