Jux na Vanessa Mdee wametangaza ziara yao ya muziki “In’Love & Money”

Jux na Vanessa Mdee wametangaza ziara yao ya muziki “In’Love & Money”

Image result for Jux na Vanessa Mdee wametangaza ziara yao ya muziki “In’Love & Money”
Wakiongea na waandishi wa habari, wamesema itafanyika mikoa minne lakini wamepanga kuwa wataongeza mingine kuanzia tarehe 30 mwezi wa 6 mwaka huu

Wamesema kuwa wakati wa ziara pia watatoa scholarship kwa mashabiki na fursa nyingine nyingi ambazo zitatangazwa baadae

Jux na Vee Money watasindikizwa na Weusi na wasanii wengine 
Source: XXL 255