Location ya photo shoot ilikuwa Kisiwani
Mbudya, Dar es salaam. Ilikuwa ni photo shoot ya baadhi ya picha atakazo
tumia kwenye cover za nyimbo tofauti ikiwemo aliyofanya na Ommy Dimpoz
hapa Tanzania. Slide Visuals ndio walipiga picha hizo.
“VICTORIA KIMANI | #TANZANIA | #DARESSALAAM | #mbudyaisland | PHOTOGRAPHY BY @slidevisuals”