Tidal ya Jay Z yapata mwekezaji aliyenunua asilimia 33 za hisa kwa $200m

Image result for Jay Z
Mtandao wa kustream muziki ulioanzishwa na Jay Z, Tidal, unazidi kunufaika. Ukiwa na watumiaji takriban milioni 45, sasa umepata booster zaidi baada ya kampuni ya Sprint kununua asilimia 33 za hisa zenye thamani ya dola milioni 200.

Hisa zingine zinaendelea kubaki kwa Jay Z na wasanii wengine wanaoumiliki wakiwemo, Beyoncé, Kanye West, Alicia Keys na Nicki Minaj. CEO wa Sprint, Marcelo Claure, ataungana na wengine kwenye bodi ya wakurugenzi wa Tidal.

“Sprint shares our view of revolutionizing the creative industry to allow artists to connect directly with their fans and reach their fullest, shared potential,” amesema Jay Z kwenye maelezo yake. “Marcelo understood our goal right away and together we are excited to bring Sprint’s 45 million customers an unmatched entertainment experience.”

Naye Marcelo ameandika kwenye Twitter:


1/ Big partnership news! Today, @Sprint is acquiring 33% of @TIDALHiFi https://t.co/hlRu82JG7Dpic.twitter.com/mmTe648FiR

— MarceloClaure (@marceloclaure) January 23, 2017


2/ Importantly, @TIDALHiFi’s artist-owners will continue to run the service, to maintain that direct connection between artist & fan. pic.twitter.com/csmWYwNKBI

— MarceloClaure (@marceloclaure) January 23, 2017


3/ Exciting partnership gives @Sprint customers exclusive access to @TIDALHiFi music, concert tix & VIP experiences https://t.co/Is9IFjWUvV pic.twitter.com/XSzULqrGEp

— MarceloClaure (@marceloclaure) January 23, 2017