Ciara Akiwa Kwenye Shooting


Picha, Ciara Akiwa Kwenye Shooting Ya Kipindi Cha Kim Kardashian.

Ciara ameanza kuonekana hadharani na ujauzito bila kujificha kama ilivyo kuwa mwezi moja nyuma. Ameonekana akifanya kipindi cha Keeping Up With The Kardashians. na alikuwa na star wa kipindi hicho Kim K.