HUU NDIO UTAJIRI WA KISS DANIEL

Msanii mkali wa RnB ambaye pia ni muandishi mkali wa mistari kutoka nchini Nigeria Kiss Daniel ameamua kuonyesha sehemu ya utajiri wake kwa kuyaonyesha mitandaoni mandinga makali ambayo anayamiliki.Kiss                           Daniel na mikoko yake.

Msanii huyo mwishoni mwa mwezi uliopita alikuwepo nchini Tanzania na aliweza kupiga bonge moja la show katika uzinduzi wa Montecarlo jijini Dar es Salaam.