Yemi Alade afanya video na Sauti Sol nchini Kenya.


Mnigeria Yemi Alade amefanya video na kundi la Kenya la Sauti Sol. Mwaka jana Yemi Alade na Sauti Sol walifanya nyimbo mbili pamoja.
Video waliofanya Kenya ni collabo ya Yemi Alade Ft Sauti Sol na wimbo huu upo kwenye album mpya ya Yemi iliyopewa jina Mama Africa.
Tayari Yemi Alade ametoa video ya wimbo wake wa ‘Na Gode’ Wiki iliyopita.