Zawadi Za Valentine's Day Zimeanza Kuonyeshwa, Hii Ya Kim K Kutoka Kwa Kanye West.
by dj hiplus on February 16, 2014Kim Kardashian kapewa mauwa ya waridi 1000 kama zawadi yake ya Valentine's na hakuchelewa baada ya saa chache aliweka picha akiwa na mauwa hayo akiwa amelala kwenye kochi.
Kanye West hakuwa Karibu na Kim wakati wa Valentine sababu alikuwa na show mji mwingine.
Kim K Aliandika hivi Instagram