![Image result for brenda nokuzola fassie](https://globaltake.com/wp-content/uploads/2017/09/c-25.jpg)
Siku kama ya leo mwaka 2004 dunia ilimpotezea malkia wa Pop Africa, Brenda Nokuzola Fassie.
Brenda Fassie ambaye aikuwa na asili ya Afrika Kusini, alizaliwa tarehe 3 November 1964 huko Langa, Cape Town, Afrika Kusini.
Brenda Fassie alishiriki kwenye juhudi za kukabiliana na utawala wa ubaguzi wa rangi.
Brenda Fassie au MaBrrr alitamba miaka ya 80 na vibao kama Vuli Ndlela, Black President, Too Late For Mama, Weekend special, Mama I’m sorry na nyingine nyingi