
Mwezi wa sita mwaka huu utakuwa mwezi mzuri sana kwa wapenzi wa Hip-Hop, Idadi ya wasanii wengi wametangaza kuachia kazi zao mpya mwezi wa sita
Jay Rock ametangaza kuachia album yake mpya “Redemption” iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu tarehe 15 mwezi wa sita mwaka huu
Hii itakuwa album ya tatu ya Jay Rock, baada ya “Follow Me Home” ya mwaka 2011 na 90059
ya mwaka 2015, Mwaka huu aliachia ngoma ya “King’s dead” aliyowashirikisha Kendrick Lamar na Future na ilikumuishwa kwenye soundtrack ya filamu ya “Black Panther”