Rapper Chace The Rapper, amepewa degree ya heshima, Sasa anaitwa Dr. Chance

Image result for Chance The Rapper 2018 degree

Rapper Chance The Rapper amejiunga kwenye orodha ya Rappers ambao wana’degree za heshima baada ya kupewa heshima hiyo na chuo cha “Dillard University in New Orleans” jumamosi ya wiki iliyopita.

Chance pia alipewa heshima ya kutoa hotuba kwenye mahafali ya chuo icho.

Dr. Chance ameungana na rappers kama Kanye West, Lil cool J, Lecrae, Common, Diddy na wengine ambao pia wana degree za heshima.