Drake alitengeneza wimbo wa “Nice For What” ndani ya saa na nusu tu huku akicheza game

Image result for drake 2018

Moja ya ngoma kali za Drake za Mwaka huu, ukiachana na “God’s Plan” ni “Nice For What” na producer wa ngoma hiyo, Murda Beatz amesimulia ilikuwaje wakati wakurekodi hiyo ngoma.

Kwenye mahojiano na Rap Rader, Murda Beatz amefunguka kuwa alienda kumtembelea Drake kwake Toronto, wakapata idea ya kutumia (ku’sample) vocal za kike kwenye ngoma lakini hawakujua nani, Meneja wa Murda akashauri watumie “Ex-factor” ya Lauryn Hill.