Cheki NDINGA ambayo Rapper A.K.A amemnunulia Mama yake.


Rapper mkali wa Afrika Kusini A.K.A ameamua kumfanyia surprise mama yake kwa kumnunulia mkoko mmoja matatizo aina. ya BMW.

Ndinga hiyo ina thamani za hadi $ 102,200 sawa na zaidi ya million mia mbili za kitanzania.
 
             Gari ambayo A.K.A amemnunulia mama yake.

A.K.A alipost katika ukurasa wake wa Instagram akimmwagia sifa kedekede mama yake huyo akisisitiza kuwa bila yeye yote hayo yasingetokea.