Itakumbukwa kabla ya kuachiwa kwa video ya Shilole Nyang’anyang’a ilielezwa kuwa alikua #South kushoot video hiyo jambo liliongeza hamu ya mashabiki kuingojea.
Sasa Kuna taarifa kutoka kwa Watu waliopo ndani ya industry ya muziki zikieleza kuwa video yote ya Shilole ilifanyika hapa bongo maeneo ya #kigamboni na siyo kama alivyosema Shilole kuwa aliishoot SA.
Shilole amepatikana kujibu hilo na ameseweka wazi kuwa video ile ilifanyika hapa bongo isipokuwa vipande(scene)zile tu anazoonekana akiwa kitandani.(kama kwenye picha hapo juu Hii inamaanisha Shilole alikwenda SOUTH kushoot scene za kitandani tu za video hiyo ila nyingine zote zmefanyika hapa bongo.