Ni kitu kizuri sana kukuta sanaa ya Tanzania inatoboa na kugusa headlines nje ya mipaka ya Tanzania, kama vile ambavyo tumeona Tuzo kadhaa za muziki zikiletwa TZ na mastaa wetu kutoka nje ya mipaka, basi nikusogezee na hii list ya mastaa ambao wamefanikiwa kuwa sehemu ya walioingia kwenye category za Africa Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs).
Kwenye list ya Watanzania wako na hawa:
1: Staford Kihore (Movie ya Mpango Mbaya)
2: Josephat Lukaza (Movie ya Kitendawili)
3: Elizabeth Michael ‘Lulu’ (Movie ya Mapenzi ya MUNGU)
4: Amil Shivji (Movie ya Samaki Mchangani)
List ya washiriki wote hii hapa , na Watanzania wetu wote ndani.
Unaweza kuingia kwenye link hii kwa ajili ya kupiga kura >>> amvca2016