T.I aomba msamaha kwa rais mwanamke.




Rapa T.I ameomba msamaha kwa kauli yake kuhusu kumpigia kura rais mwanamke. Kupitia interview aliyofanyiwa na dj Whokid, T.I alisema hana mpango wa kumpigia kura rais mwanamke, wana haraka ya kufanya maamuzi na kwa kutumia hisia zao zaidi.

Baadae T.I alisema kupitia twitter “I sincerely apologize to everyone I offended.”