Staa wa muziki kutoka Nigeria Kiss Daniel aliye hit na wimbo wake ‘Woju’ amesema anaelewa na kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
Kiss Daniel amempa big up Rais wa Marekani Barack Obama kwa kukubali na kupitisha sheria hio nchini kwake. Fahamu kuwa Nigeria wanapinga kwa nguvu zote ndoa za jinsia moja.
Kiss Daniel aliandika Instagram “Ok, so, g@y marriage is legalized in the U.S? Some are mad, some are indifferent, some are glad. Straight or G@y, what matter is we’ve got a heart that can love. Love is love and love always wins. Barrack Obama, peace”