Picha za matukio yaliyojili kwenye uzinduzi wa DAMN TRICK

Usiku wa kuamkia jana kuliuwa na uzinduzi wa movie toka jiji mbeya movie hinayokuja kufanya vizuri katika nyanda za juu kusini na tazania kwa ujumla na nje ya nchi movie hiyo kwa mala ya kwanza ilinunuliwa kwa sh milion mbili na muheshimiwa Chitambara na kuungana na vijana wengine ambao waliinunua movie kwa sh milion tatu na kima cha chini kabisa ilinunuliwa kwa sh alfu kumi

   Tazama picha hapa