Wasanii wa Serengeti Fiesta 2014 waunga na Afande Sele kwenye 40 ya Mke wake

Post by Dj Hiplus Bby

Wasanii wa Serengeti Fiesta 2014 waunga na Afande Sele kwenye 40 ya Mke wake

Afande Sele, Tunda mtoto wa afande sele na mdogo wake Tunda

Leo ilikuwa ni 40 ya Mke wa Afande sele amabayo imefanyikia nyumbani kwa Afande Sele mjini Morogoro na Wasanii ambao 
watafanya show pale baadae kwenye jukwaa la #SerengetiFiesta2014 waliudhulia na kujumuika pamoja na msanii mwenzao na kubadilishana mawazo, Afande amewasii wasanii kukumbukana na kuwa pamoja sio tu kwenye matatizo nakuwaimiza waishi kwa upendo.





On 22/9/2014

Siku ya jmapili ya tarehe 21 / 9/2014 wasanii  wa fieste waliungana pamoja na msanii  Afande Sele katika 40 ya mke wake aliyekuwa maarufu kama mama tunda