Mesen Selecter.
Dj J-One kutoka Times Fm.
Diamond platnmz
Wananchi waliokuwa wamefika katika kushuhudia Uzinguzi Rasmi wa Ngonga Beach Kyela
Msanii Diamond akiwa na wacheza show wake wakifanya yao kwenye Uzinduzi rasmi wa Ngonga Beach kyela.
Msanii wa Bongo Fleva Msami Baby akifanya yake kwenye Uzinduzi rasmi wa Ngonga Beach kyela.
Msanii wa Bongo Fleva Msami Baby
Msanii wa Bongo Fleva Khadijnito