Kuelekea kutoka kwa album yake mpya ya RED msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage amefanya sherehe ndogo ya usikilizwaji wa album yake kwenye mgahawa wa Industry Nite mjini Lagos Nigeria.
Mastaa walihudhuria ni pamoja na Don Jazzy, Dr. Sid, D’Prince, Di’Ja, Korede Bello, Waje, 9ice, Tomi Odunsi, MC Galaxy, Iceberg Slim na Tee Billz.