Mjue said mkukila msanii (muigizaji), director, Editor,story & script writter na graphics designer

Anaitwa said mkukila,mi ni mtoto wa pil katka familia ya watoto wanne. mi ni msanii (muigizaji), director, Editor,story & script writter na graphics designer.. Kabla ya vyote hivi,nilianza kuigiza na nilijiunga kaole mwaka 2005 mwez wa 8.. Nilishirik tamthiliya zilizokuwa zikirushwa tbc1 kipindi kile ilianza km TvT.. Tamthiliya nilizocheza ni.. Tetemo,gumzo,funiko na safar.. Badae nikaanza kufnya na film,film nilizocheza ni km The director ya marehem stive kanumba,second wife ya rj company,machozi yangu (hii niliandika story na script) wazanga (hii pia niliandika script na kuedit) na nyingine nying zinakuja,hivyo hizo baadhi ya kaz nilizofanya. Kuna film nilizoedit ni Hakuna matata ya nisha,Huba,mshale wa kifo,wazanga n.k film nilizoandika script ya zamaradi mketema,wazanga,machozi yangu n.k na pia nilidirect km wazanga,vikoba n.k.. So nimejikita sana kwenye sanaa na naichukulia sanaa km wazazi wangu,coz inaniendeshea maisha yangu na familia yangu,japo sio kikubwa sana lkn namshukuru Mungu kwa hiki anachonijalia..  


        NAIZI NI BAADHI YA KAZI ALIZO SHILIKI NA KUZIFANYA   






              
                       AKIWA OFICN SAID ALIANDAA KAZI MPYA