Post by
dj hiplus bby
ON 17/6/2014
Kwenye
show ya Fashion Rock Aliyofanya Rapper Nicki Minaj inasemekana alikosea
pozi na makalio yake kuonekana tofauti na yanavyoonekana kwenye picha
zingine na kuzua gumzo kuwa yanaweza kuwa feki kama iliyoripotiwa miaka
kadha iliyopita.
